Mtumbwi wa Dufuna

Mtumbwi huu wenye umri wa miaka 8,000 uligunduliwa mwaka 1987, ukiwa ni mashua ya pili kongwe duniani.

Mtumbwi wa Dufuna ni mtumbwi uliogunduliwa mwaka 1987 na mchungaji wa ng'ombe wa Wafulani kilomita chache kutoka kijiji cha Dufuna katika eneo la serikali ya mtaa wa Fune, karibu na mto Komadugu Gana, katika Jimbo la Yobe, Nigeria.[1]

  1. Garba, Abubakar (1996). "The architecture and chemistry of a dug-out: the Dufuna Canoe in ethno-archaeological perspective". Berichte des Sonderforschungsbereichs. 268 (8): 193. S2CID 207909025.

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search